Ukiambukizwa Covid-19, jaribu kutokuogopa. Watu wengi wanaoambukizwa na virusi vya Corona hupona, haijalishi ni wazee au watoto. Watu wengine huugua kidogo sana. Wengine huugua sana. Bali kuna mambo ambayo unaweza kuyafanya kujisaidia mwenyewe kupona haraka zaidi na kuepuka kueneza virusi kwa watu wengine katika familia yako na jamii yako. Miongozo hii inashirikisha wazo namna ya kufanya utakapojisikia vibaya lakini uwe imara kujiangalia mwenyewe ukiwa nyumbani.

Support our work today

DONATE NOW