Miongozo hii iko kwa jairi ya makanisa na mashirika au taasisi zinazofanya katika jamii na familia zinazoishi katika mazingira yenye rasilimali ndogo katika mataifa tofauti ya Afrika, lakini miongozo hii inaweza kuigwa na mataifa yanayofanana na mazingira yale yale katika mataifa mengine pia.  Inategemewa kuwa taarifa katika miongozo hii inaweza kuigwa katika muktadha wa ngazi ya familia, na kushirikishwa na wanafamilia walioko katika jamii zilizoko vijijini na mijini pia kuwapatia hali kubwa ya kujiamini katika kutoa malezi ya nyumbani kwa wale wanaougua COVID-19 wakiwa nyumbani. Kweli, kila miongozo ya kila taifa lazima izingatiwe, ishirikishwe na kuwekwa katika matumizi. Wakati miongozo mikuu iliyotolewa katika andiko hili inatumika kwa watu wazima na watoto walio na COVID-19.

Support our work today

DONATE NOW